Tahadhari
Taarifa zote zilizowasilishwa zitachukuliwa kuwa za siri. Utambulisho na maelezo yako binafsi yatatunzwa kama ilivyoainishwa kwenye Sheria ya Ulinzi wa Watoa Taarifa na Mashahidi (Sura ya 446) na Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (Sura ya 44). Mfuko utakupa ulinzi wakati wowote ambapo kuna sababu za msingi za kuamini kuwa, kutokana na ufichuzi huo, usalama wako, mali zako, au watu unaohusiana nao wako hatarini au wanaweza kukabiliwa na madhara au vitisho.